Najisikia Kuua Tena

Najisikia Kuua Tena

SwahiliEbook
Mtobwa, R.
East African Educational Publishers
EAN: 9789966565976
Available online
CZK 462
Common price CZK 513
Discount 10%
pc

Detailed information

,...Inspekta, najisikia kuua tena..., inadai sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa sheria...hapatikani...Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake za pekee, pamoja na kutokwa jasho jingi, kunamwezesha kugundua mengi amabyo yanaitisha dunia na kuitetemesha nchi nzima. lakini kila hatua anayoipiga katika upelelezi wake inamsongeza karibu zaidi na kinywa cha mauti chenye kiu ya damu yake, kilicho wazi kikimsubiri kwa hamu...
EAN 9789966565976
ISBN 9966565973
Binding Ebook
Publisher East African Educational Publishers
Publication date April 9, 1984
Pages 114
Language Swahili
Country Uruguay
Authors Mtobwa, R.